Mji wa Denizli umepata mafanikio makubwa sana kiuchumi hasa kwa shughuli zake za utengenezaji wa nguo na kuzusafirisha nchi za nje[1].
Mji huu umekuwa kituo kikubwa cha uzalishaji wa bidhaa zinazotazamiwa kupelekwa nchi za nje, Denizli hutajwa mara kwa mara, ukiwa sambamba na miji mingine ya Uturuki, ikiwa kama miji yenye kupiga hatu kubwa sana kimaendeleo[2].
Jina la Denizli linamaana ya "maeneo yenye bahari au ziwa" kwaKituruki, lakini mji wenyewe haupo katika pwani. Jina linatokana na tahajia kadha wa kadha ambazo zina vyanzo vya maji yanayopita chini kwa chini na kuelekea katika eneo la mkoa wa karibu ya ziwa lililopo karibu na mji huko Uturuki.[3]
↑Bernard Fingleton, Ayda Eraydın, Raffaele Paci, Bilge Armatlı Köroğlu, Burak Beyhan p. 229 (2003).Regional Economic Growth, SMEs and the Wider EuropeISBN 0-7546-3613-5, Chapter 11: The changing role of SMEs in the regional growth process: The case of Denizli.Ashgate Publishing.{{cite book}}: CS1 maint: multiple names: authors list (link) CS1 maint: numeric names: authors list (link)
↑An alternative theory holds that the name wasDomuzlu (the place of boars) due to the boar in the mountains around the town, and was changed as Muslims found the name offensive.
Makala hii kuhusu maeneo yaUturuki bado nimbegu. Je unajua kitu kuhusuDenizli kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.