Bata-miti
Zana
Kijumla
Chapa/peleka nje
Miradi mingine
Bata-miti | ||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
![]() | ||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||
| ||||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||||
Spishi 8:
|
Mabata-miti auDendrocygninae ninusufamilia yafamilia yaAnatidae yenyejenasi moja tu,Dendrocygna.Waainishaji wengine wanawaweka ndani ya familia yao wenyeweDendrocygnidae au ndani yakabilaDendrocygnini ya familia ndogoAnserinae. Leo kunaspishi nane za mabata-miti navisukuku vya spishi ingine vimefunuliwa kisiwani kwaAitutaki,Visiwa vya Cook. Wanaitwa mabata-miti kwa sababu hujenga matago yao pengine ndani ya miti. Lakini kwa Kiingereza wanaitwa “whistling ducks” sikuhizi kwa sababu ya sauti yao kama mluzi. Mabata hawa wanatokea popote kwa kanda zatropiki nanusu-tropiki. Wana miguu mirefu na shingo refu na wanapenda kuwa pamoja. Makundi makubwa ya ndege hawa huonekana maziwani.