Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Demografia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ramani yanchi zadunia kadiri ya idadi ya watu.
Msongamano wa watu nchiniTanzania kadiri yasensa yamwaka2022.

Demografia nisayansi ya jamii inayozingatiatakwimu zaidadi yabinadamu.

Inaweza kuhusu mabadiliko yoyote yamakundi ya watu mbalimbali kadiri ya mahali na wakati, k. mf. kulingana na wengine kuzaliwa, kufa, kuhama, kuzeeka na kufa[1].

Tanbihi

[hariri |hariri chanzo]
  1. https://www.lifesitenews.com/news/demographic-experts-warn-that-the-world-should-fear-population-collapse-and-not-overpopulation/
Jiografia portal
Makala hii kuhusu mambo yasayansi bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuDemografia kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Demografia&oldid=1282852"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp