Delavirdine (DLV), inayouzwa kwa jina la chapaRescriptor, ni dawa inayotumika kufubazaVirusi vya UKIMWI.[1] Inatumika pamoja na dawa nyingine za VVU; ingawa sio tiba inayopendekezwa.[1] Dawa hii inachukuliwa kwa mdomo, mara tatu kwa siku.[1]
Madhara yake ya kawaida ni pamoja na uchovu, kizunguzungu, maumivu ya kichwa na upele.[2] Dalili zake nyingine zinaweza kujumuisha ugonjwa wa Stevens-Johnson, unene wa kupindukia na ugonjwa wa kurejesha kingamwili.[1] Usalama wa matumizi yake katika ujauzito hauko wazi.[1] Dawa hii ni kizuizi kisicho na nucleoside reverse transcriptase (NNRTI).[1]
Delavirdine iliidhinishwa kwa ajili ya matumizi ya kimatibabu nchini Marekani mwaka wa 1997[1] lakini ilikomeshwa nchini Marekani kufikia mwaka wa 2021.[1] Dawa hii haitumiki kwa kawaida.[2]
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link){{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)![]() | Makala hii kuhusu mambo yatiba bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusuDelavirdine kama sababu yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari. |