Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Daniel Nathans

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Daniel Nathans (30 Oktoba192816 Novemba1999) alikuwa mwanabiolojia kutoka nchi yaMarekani. Hasa anajulikana kwa kuchunguza mfumo wa kijenetiki wavirusi mbalimbali. Mwaka wa1978, pamoja naWerner Arber naHamilton Smith alikuwa mshindi waTuzo ya Nobel ya Tiba.


Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuDaniel Nathans kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Daniel_Nathans&oldid=881732"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp