Dai Qing
Zana
Kijumla
Chapa/peleka nje
Miradi mingine
Dai Qing (amezaliwaAgosti1941 hukoChongqing)[1] nimwandishi wa habari,mwanamazingira namwanaharakati wa masuala yanayohusiana naUchina; kwa kiasi kikubwa dhidi yamradi wabwawa laThree Gorges Dam.[2]
Dai pia nimwandishi ambaye amechapishavitabu, nakala namajarida mengi yenye ushawishi.[3]
![]() | Makala hii kuhusu mtu huyo bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusuDai Qing kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari. |