Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Coahuila

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Saltillo, Coahuila
Bendera ya Coahuila
Mahali pa Coahuila katikaMexiko

Coahuila (jina rasmi: Coahuila de Zaragoza) ni moja kati ya majimbo 31 yaMexiko upande wa kaskazini ya nchi. Mji mkuu na mji mkubwa niSaltillo. Jimbo lina wakazi wapatao 2,495,200 (2005) wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 149,982.

Imepakana naMarekani (Texas),Nuevo León,Zacatecas,San Luis Potosí,Durango naChihuahua. Kuna jumuiya pili katika Coahuila: Wazungu ambao ni 74% ya wakazi wote na wamestizo ni 20% ya wakazi.

Gavana wa jimbo niHumberto Moreira Valdés.

Lugha rasmi niKihispania.

Miji Mikubwa

[hariri |hariri chanzo]
  1. Saltillo (633,667)
  2. Ciudad Acuña (209,000)
  3. Monclova (200,160)
  4. Piedras Negras (143,915)



Viungo vya Nje

[hariri |hariri chanzo]



Makala hii kuhusu maeneo yaMexiko bado nimbegu.
Je unajua kitu kuhusuCoahuila kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Coahuila&oldid=1124461"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp