Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Chura-sugu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Chura-sugu
Chura-sugu wa Garman
Chura-sugu wa Garman
Uainishaji wa kisayansi
Himaya:Animalia (Wanyama)
Faila:Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli:Amphibia (Wanyama wanaoanza maisha kwenye maji na kuendelea nchi kavu)
Nusungeli:Lissamphibia (Amfibia waliopo bado)
Oda:Anura (Vyura)
Nusuoda:Neobatrachia
Familia:Bufonidae
Gray, 1825
Ngazi za chini

Jenasi 6 katika Afrika:

Vyura-sugu ni aina zavyura wafamiliaBufonidae katikaodaAnura ambaongozi yao inasugu. Wana jozi yatezi kichogoni zinazochozasumu yaneva (bufotoxin) ili kuzuia maadui.

Vyura hawa huishi kwa nchi kavu au juu yamiti lakini takriban spishi zote hutagamayai katikamaji. Mayai hayo hutoandubwi.Spishi zajenasiNectophrynoides (vyura-sugu msitu) hazitagi mayai lakini huzaa vyura wadogo, kwa sababu ndubwi wanatoka kwa mayai ndani yakirijaova cha jike na kukua mpaka vyura.

Spishi za Afrika ya Mashariki

[hariri |hariri chanzo]

Spishi za pande nyingine za Afrika

[hariri |hariri chanzo]


Picha

[hariri |hariri chanzo]
  • Chura-sugu wa Kameruni
    Chura-sugu wa Kameruni
  • Chura-sugu koromo
    Chura-sugu koromo
  • Chura-sugu mgongo-bapa
    Chura-sugu mgongo-bapa
  • Chura-sugu wa kawaida
    Chura-sugu wa kawaida
  • Chura-sugu wa Bunty
    Chura-sugu wa Bunty
  • Chura-sugu mgongo-mwekundu
    Chura-sugu mgongo-mwekundu
  • Buchner's toad
    Buchner's toad
  • Western leopard toad
    Western leopard toad
  • Perret's toad
    Perret's toad
  • Kimberley toad
    Kimberley toad
  • Raucous toad
    Raucous toad
  • Congo toad
    Congo toad
  • Fenoulhet's toad
    Fenoulhet's toad
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Chura-sugu&oldid=1174379"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp