Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Chuki

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nenochuki kwaKichina.
Mauaji ya Duluth,15 Juni1920.

Chuki, kinyume chapendo, ni hali yamtu au kikundi cha watu kutopendakitu fulani.

Mfano watu wema hawapendiuovu, kwa hiyo wana chuki na uovu. Chuki hiyo ni nzuri, kwa kuwa inajengajamii.

Lakini mara nyingine chuki inalenga watu kwa misingi mbalimbali: ya binafsi, yauchumi, yasiasa, yajinsia, yadini, yaasili n.k.

Inaweza ikatokana nakijicho na kuishia katikamauaji hata ya halaiki, kama vilemauaji ya kimbari. Hapo inaonekana wazi kuwa mbaya, hata pengine yakishetani.

Marejeo

[hariri |hariri chanzo]
  • The Psychology of Hate byRobert Sternberg (Ed.)
  • Hatred: The Psychological Descent into Violence by Willard Gaylin
  • Why We Hate byJack Levin
  • The Psychology of Good and Evil: Why Children, Adults, and Groups Help and Harm Others by Ervin Staub
  • Prisoners of Hate: The Cognitive Basis of Anger, Hostility, and Violence byAaron T. Beck
  • Becoming Evil: How Ordinary People Commit Genocide and Mass Killing byJames Waller
  • Ethnolinguistics and Cultural Concepts: truth, love, hate & war, by James W. Underhill, Cambridge:Cambridge University Press.
  • "Hatred as an Attitude", by Thomas Brudholm (inPhilosophical Papers 39, 2010).
  • The Globalisation of Hate, (eds.) Jennifer Schweppe and Mark Walters, Oxford: Oxford University Press.

Viungo vya nje

[hariri |hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala bado nimbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuongezea habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Chuki&oldid=1114482"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp