Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Christian Lous Lange

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Christian Lous Lange.

Christian Lous Lange (17 Septemba186911 Desemba1938) alikuwa mwanasiasa kutoka nchi yaNorwei. Hasa alijitahidi kupatanisha vyama mbalimbali vya siasa. Mwaka wa1921, pamoja naHjalmar Branting alikuwa mshindi waTuzo ya Nobel ya Amani.

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuChristian Lous Lange kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Christian_Lous_Lange&oldid=914794"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp