Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Chombo cha usafiri

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Basi ni chombo maarufu cha usafiri duniani

Chombo cha usafiri nikifaa chochote kinachotumiwa kusafirishawatu aumizigo.

Vyombo vya usafiri hutofautiana kama vinahudumiausafiri wanchi kavu, wamajini au wahewani.

Mifano ni

Hutofautishwa pia kama vinalenga matumizi ya watu binafsi au matumizi yaumma.

  • Baisikeli, pikipiki na motokaa mara nyingi hutumiwa na wenye chombo hiki cha usafiri. Lakini zinaweza kutumiwa pia kama sehemu yausafiri wa umma kwa mfano gari kamateksi au baisikeli kamaboda-boda. Magari makubwa na mazito kamalori husafirisha mizigo.
  • Treni,reli ya mjini,metro namabasi ni vyombo vyausafiri wa umma kwenye nchi kavu.
  • Meli naferi ni vyombo vya usafiri wa umma majini, lakini boti ndogo mara nyingi hutumiwa na watu binafsi. Isipokuwa kunamiji kando yamto aubandarini penyehuduma ya teksi ya maji kwa kutumia boti dogo.Meli ya mizigo husafirishabidhaa.
  • Eropleni ndogo hutumiwa na watu binafsi ilhalimatajiri wachache ni wenye ndege kubwa. Kwa kawaida ndege kubwa hubeba abiria kama vyombo vya usafiri wa umma. Eropleni ndogo zinapatikana pia kama teksi ya hewani.

Picha

[hariri |hariri chanzo]
  • Feri huko Kroatia
    Feri huko Kroatia
  • Treni ya kasi ICE huko Ujerumani
    Treni ya kasi ICE huko Ujerumani
  • Magari ya binafsi kwenye baraste kuu, Marekani
    Magari ya binafsi kwenyebaraste kuu, Marekani
  • Eropleni ya Airbus 318
    Eropleni ya Airbus 318
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Chombo_cha_usafiri&oldid=1119445"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp