Cheruku
Zana
Kijumla
Chapa/peleka nje
Miradi mingine
Cheruku | ||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
![]() | ||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||
| ||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||
Jenasi 3:
|
Cheruku nindege wajenasi mbalimbali katikafamiliaGlareolidae. Ndege hawa wanaweza kukimbia sana. Wanatokea mahali pakavu kama nyika aujangwa. Hulanzige nawadudu wengine na huyatagamayai mchangani.Cheruku-mamba huonekana karibu namito na hutaga mayai yake kwa mafungu ya mchanga mtoni. Huainishwa na wataalamu wengine katika familiaPluvianidae.Spishi hii hula wadudu lakini pia hutoa nyama kwa kati ya meno yamamba.