Wanawake wana chembeuzi mbili za namna hiyo, ambayo ni chembeuzi XX, nawanaume wana chembeuzi X moja tu pamoja na ile ya Y. Kwa hiyobaba anaweza kumrithisha mwanae akawa mtoto wa kike pindi atakapochangia chembeuzi X kwa mtoto huyo na atamrithisha jinsia ya kiume mtoto pindi atakapochangia chembeuzi Y kwa mtoto huyo. Kwa maana nyingine baba ndiye ambaye anatambulisha jinsia ya mtoto wake.
Chembeuzi Xjeni 2,000 hivi kati ya 20,000-25,000 zabinadamu, hivyo inabeba jeni nyingi sana kuliko chembeuzi Y. Hivyo kwa mtoto ambaye atakuwa najinsia ya baba (mume) mara nyingi utaona anabeba na kutokeza sifa za mama, na yule wa kike hutegemea uwezo wa jeni zilizo na nguvu, aidha ni kutoka kwenye chembeuzi kutoka kwa mama au kutoka kwa baba au zikawa na mchanganyiko wa sifa.
Makala hii kuhusu mambo yabiolojia bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusuChembeuzi X kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.