Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Chamchela

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Chamchela (pia:kinyamkera kutokana naimani ya kishirikina) niupepo mkali unaovuma katika nchi kavu kwanguvu nakasi yakm 117 kwasaa. Ndiyo sababu huleta madhara kama kubomoa nyumba au kuezua paa, kuharibu miti, kuangusha mazao n.k.

Watu wengi wanadhani ni sawa nakimbunga, kumbe kimbunga ni upepo mkali unaovumabaharini.

Makala hii kuhusu mambo yasayansi bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuChamchela kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Chamchela&oldid=1045369"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp