| Caterina Murino |
|---|

Caterina Murino (amezaliwa15 Septemba1977)[1] nimwigizaji wa Kiitaliano.
Alizaliwa mjiniCagliari,Sardinia, nchiniItalia. Yeye mwanzowe alitaka kuwa daktari, lakini alibadilisha kazi yake na kuingilia kazi ya upambe (beauty pageants) baada ya kutofaulu mtihani wa kiingilio wa kusomea udaktari.[2] Yeye alikuwa nambari ya tano katika mashindano yaMiss Italy mnamo1996.[3] Mwaka 1999 na 2000, alisomea masomo ya maigizo katika "Cinema of Theatre of Francesca de Sapio", na alionekana katika utayarishaji waRichard III na tamthiliya za lugha ya Kiitaliano. Ameanza kazi katika televisheni mwaka 2002. Yeye alipata umaarufu kote duniani baada kuigiza kamaSolange mnamo [[2006 kwenye kipindi cha James Bond James Bond iitwayo Casino Royale.|2006 kwenye kipindi cha James BondJames Bond iitwayoCasino Royale. ]]
Yeye huzungumzaKiitalia,Kihispania,Kiingereza naKifaransa.[4] Amekuwa anaoishi mjiniParis tangu mwaka wa 2004. Mwaka wake wa kuzaliwa unaripotiwa kuwa 1974 mara nyingine,[5] ingawa tovuti yake rasmi inatoa mwaka wa 1977.
It's already been a rapid rise to stardom for the 28-year-old Murino...