Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Castries

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Castries

Castries na bandari yake
Habari za kimsingi
UtawalaTarafa ya Castries ("Quarter of Castries")
Historiaimeundwa 1650
Anwani ya kijiografiaLatitudo: 14°1′N
Longitudo: 60°59′W
Kimo15 mjuu ya UB
Eneo?km²
Wakazi- mji: 11,200 (2005)
Msongamano wa watuwatu ? kwakm²
Simu+1246 (nchi yote)
Mahali

Castries nimji mkuu wanchi ya kisiwani yaSaint Lucia katikaBahari ya Karibi.

Mji uliundwa na Wafaransa mnamo 1650 na jina limetokana na tarafa ya Castries hukoUfaransa.

Lugha zinazogumzwa mjini ni hasa aina ya Kifaransa pamoja na Kiingereza ambacho ni lugha rasmi.

Mji unatembelewa na meli za kitalii.


Makala hii kuhusu maeneo yaBahari ya Karibi bado nimbegu.
Je unajua kitu kuhusuCastries kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Castries&oldid=878945"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp