Carol Ann Shields (2 Juni1935 –16 Julai2003) alikuwa mwandishi wa kike kutoka nchi yaMarekani. Mwaka wa1995, alipokeaTuzo ya Pulitzer ya Bunilizi kwariwaya yakeThe Stone Diaries.
![]() | Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusuCarol Shields kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari. |