CAMFED (pia inajulikana kamakampeni yaelimu ya kike) ni shirika la kimataifa lisilo la kiserikali, na lisilo la faida lililoanzishwa mwaka1993 ambalo dhamira yake ni kutokomezaumaskini baraniAfrika kupitiaelimu yawasichana na uwezeshaji wa wanawake vijana.
Programu za CAMFED zinafanya kazi nchiniZimbabwe,Zambia,Ghana,Tanzania naMalawi.[1][2]
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)Makala bado nimbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuongezea habari. |