Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

C sharp

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
C#
C Sharp wordmark
Shina la studionamna : namna nyingi inaozingatiwa kuhusu kipengee
ImeanzishwaJulai 12000 (2000-07-01) (umri 24)
MwanzilishiAnders Hejlsberg
Ilivyo sasaIlivutwa na: C++, Cω, Eiffel, F#, Haskell, Icon, J#, J++, Java, ML, Modula-3, Object Pascal, Rust, VB

Ilivuta: Chapel, Clojure, Crystal, D, J#, Dart, F#, Hack, Java, Kotlin, Nemerle, Oxygene, Ring, Rust, Swift,[ Vala, TypeScript

MahalaCommon Language Infrastructure
Tovutihttps://www.csharp.net

C# auC sharp nilugha ya programu. Iliundwa naAnders Hejlsberg na ilianzishwatarehe1 Julai2000. Iliundwa ili kuumbaprogramu kwaMicrosoft. Leo tunatumia C# 8.0. Ilivutwa naC++.

Inaitwa C# kwa sababu ni mageuzi ya C++, lugha ya programu nyingine.

Historia

[hariri |hariri chanzo]

Ilianzishwa 1 Julai 2000 nchiniMarekani. Lakini Anders Hejlsberg alianza kufanyakazi kuhusu C#mwaka wa1999.

Falsafa

[hariri |hariri chanzo]

Namna ya C# ni namna nyingi na inaozingatiwa kuhusu kipengee.

Sintaksia

[hariri |hariri chanzo]

Sintaksia ya C# ni ngumu sana kinyume cha lugha za programu nyingine kamaJavaScript,Python auRuby. Ilivutwa na sintaksia ya Haskell, lugha ya programu nyingine.

Mifano ya C#

[hariri |hariri chanzo]

Programu kwa kuchapa « Jambo ulimwengu !».

usingSystem;classProgram{publicstaticvoidMain(string[]args){Console.WriteLine("Jambo ulimwengu !");}}

Programu kwa kupata factoria ya namba moja.

usingSystem;publicclassFactorialExample{publicstaticvoidMain(string[]args){inti,fact=1,number;Console.Write("Ingia namba moja: ");number=int.Parse(Console.ReadLine());for(i=1;i<=number;i++){fact=fact*i;}Console.Write("Factoria ya "+number+" ni: "+fact);}}

Marejeo

[hariri |hariri chanzo]
  • Drayton, Peter; Albahari, Ben; Neward, Ted (2002). C# Language Pocket Reference. O'Reilly.ISBN 0-596-00429-X.
  • Petzold, Charles (2002). Programming Microsoft Windows with C#. Microsoft Press.ISBN 0-7356-1370-2.
  • C# Guide". docs.microsoft.com.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=C_sharp&oldid=1108342"
Jamii:
Jamii iliofichwa:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp