Bwabwaja
Zana
Kijumla
Chapa/peleka nje
Miradi mingine
Bwabwaja | ||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
![]() | ||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||
| ||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||
Jenasi 2: |
Bwabwaja nindege wajenasiGlareola naStiltia katikafamilia yaGlareolidae. Umbo na mwenendo yao inafanana nambayuwayu. Wana mabawa marefu yaliyochongoka, miguu mifupi na mkia mwenye panda. Hukamatawadudu wakipuruka na hutaga mayai yao chini.