Bungoma
Zana
Kijumla
Chapa/peleka nje
Miradi mingine
Bungoma | |
Mahali pa mji wa Bungoma katika Kenya | |
Majiranukta:0°34′0″N34°34′0″E / 0.56667°N 34.56667°E /0.56667; 34.56667 | |
Nchi | Kenya |
---|---|
Kaunti | Bungoma |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 81,151 |
Bungoma nimji waKenya yamagharibi karibu na mpaka waUganda ambao nimakao makuu yakaunti ya Bungoma.
Wakazi walikuwa 81,151 wakati wasensa yamwaka2009[1].
Bungoma iko kwenyekimo chamita 1,385 juu yaUB, mguuni paMlima Elgon.
Wenyeji wa Bungoma niWabukusu ambao nitawi laWaluhya.
Mji wa Bungoma ulianzishwa kama kituo chareli ya Uganda katikamiaka ya 1920. Bungoma ikateuliwa kama kituo cha mwisho ndani ya Kenya kabla ya kufikia mpaka wa Uganda.
Wakati wa uhuru Bungoma ilionekana kama kijiji kikubwa chenye maduka machache. Mji ukaendelea kukua haraka.
Uchumi umetegemea hasakilimo kinachostawi vizuri kutokana nahali ya hewa na wingi wamvua. Kunakiwanda chasukari. Kiwanda chakaratasi chaWebuye kipo karibu.
![]() | Makala hii kuhusu maeneo yaKenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusuBungoma kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari. |