Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Brunei

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Brunei Darussalam
نڬارا بروني دارالسلام (Negara Brunei Darussalam)
Kaulimbiu: الدائمون المحسنون بالهدى‎ (Ad-dāʾimūna al-muḥsinūna bi-l-hudā)
"Sentiasa membuat kebajikan dengan petunjuk Allah" ("Daima katika huduma kwa mwongozo wa Mungu")
Wimbo wa taifa: Allah Peliharakan Sultan (ﷲ ڤليهاراکن سلطان‎) – "Mungu amlinde Sultan"
Mahali pa BruneiMahali pa Brunei
Ramani ya BruneiRamani ya Brunei
Mji mkuu
na mkubwa
Bandar Seri Begawan
Lugha rasmiKimalay
Kabila
Dini
SerikaliUfalme wa kifalme wa Kiislamu
Hassanal Bolkiah
  Mrithi wa kiti cha enzi
na Waziri Mkuu Mwandamizi
Al-Muhtadee Billah
  Mufti
Abdul Aziz Juned
  Ufalme kuanzishwa
takriban 1368
  Ulinzi wa Kiingereza
17 Septemba 1888
  Uhuru kutoka Uingereza
1 Januari 1984
Eneo
  Jumlakm2 5,765
  Maji (asilimia)8.6%
Idadi ya watu
  Kadirio la 2025466,227
  Msongamano72.1/km2
PLT (PPP)Kadirio la 2025
  Jumla $43.830 bilioni
  Kwa kila mtu $95,760
PLT (Kawaida)Kadirio la 2025
  Jumla $16.01 bilioni
  Kwa kila mtu $34,970
HDI (2023) 0.837
-juu
SarafuDola ya Brunei (BND)
Majira ya saaUTC+08:00 (Saa ya Brunei)
Msimbo wa simu+673
Jina la kikoa.bn

Brunei, rasmiBrunei Darussalaam (برني دار السلام ,Negara Brunei Darussalaam) niusultani mdogo nanchi hurukaskazini mwakisiwa chaBorneo hukoAsia yaKusini-Mashariki. Imepakana namajimbo yaSarawak naSabah yaMalaysia tu, ingawa sehemu kubwa ya kisiwa hicho inatawaliwa naIndonesia.Mji mkuu niBandar Seri Begawan. Mnamo 2024 ina idadi ya watu takriban 462,271.Lugha rasmi niKimalay hukuKiingereza kikitumiwa katika mandhari rasmi na shuleni.

Mtawala wa nchi nisultaniHassan al-Bolkiah. Anasemekana kuwa kati ya watutajiri zaididuniani kutokana na mapato yamafuta ya petroli.

Historia

[hariri |hariri chanzo]

Dola la Brunei lilistawi kuanzia mwaka1368 hadikarne ya 17 likienea katika sehemu kubwa yaBorneo na hatavisiwa vingine. LilipokeaUislamu katikakarne ya 15.

Baada ya kunyang'anywa maeneo mengi naWazungu (Wahispania,Waholanzi naWaingereza), mwaka1888 sultani aliombaulinzi waUingereza ambao uliendelea hadiuhuru wa mwaka1984.

Watu

[hariri |hariri chanzo]

Wakazi wengi (66%) ni wa jamii yaWamalay, 10% niWachina, 3.4% niWaborneo asili, 2.3% niWahindi, 16.8% wana asili tofauti.

Lugha rasmi niKimalay, lakiniKiingereza pia kinatambuliwa nakatiba ya nchi.

Dini rasmi niUislamu wamadhehebu yaSunni ambayo inafuatwa nathuluthimbili za wakazi, lakini wakazi wengine wanafuatadini zaUbuddha (13%),Ukristo (10%) nadini za jadi (2%).Asilimia 7 hawana dini maalumu.

Tazama pia

[hariri |hariri chanzo]

Marejeo

[hariri |hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri |hariri chanzo]
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Serikali
Taarifa za jumla
Biashara
Utalii
Nchi na maeneo yaAsia

Afghanistan |Armenia2 |Azerbaijan |Bahrain |Bangladesh |Bhutan |Brunei |China |Falme za Kiarabu |Georgia2 |Hong Kong3 |Indonesia |Iran |Iraq |Israel |Jamhuri ya China (Taiwan) |Japani |Kamboja |Kazakhstan |Kirgizia |Korea Kaskazini |Korea Kusini |Kupro2 |Kuwait |Laos |Lebanoni |Macau3 |Malaysia |Maldivi |Mongolia |Myanmar |Nepal |Omani |Pakistan |Palestina |Qatar |Saudia |Singapuri |Sri Lanka |Syria |Tajikistan |Timor ya Mashariki |Turkmenistan |Ufilipino |Uhindi |Urusi1 |Uthai |Uturuki1 |Uzbekistan |Vietnam |Yemen |Yordani

1. Nchi ina maeneo katikaAsia naUlaya. 2. Nchi ikoAsia lakini inahesabiwa pia kati ya nchi zaUlaya kwa sababu za historia au utamaduni. 3. Eneo la pekee la China.
Makala hii kuhusu maeneo yaAsia bado nimbegu.
Je unajua kitu kuhusuBrunei kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Brunei&oldid=1457092"
Jamii:
Jamii zilizofichwa:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp