Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Bolivia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
República de Bolivia
Jamhuri ya Bolivia
Bendera ya BoliviaNembo ya Bolivia
BenderaNembo
Kaulimbiu ya taifa:Kihispania:¡Morir antes que esclavos vivir!
("Heri kufa kuliko kuishi kama watumwa")
Wimbo wa taifa:Bolivianos, el hado propicio
Lokeshen ya Bolivia
Mji mkuuSucre
16°29′ S 68°8′ W
Mji mkubwa nchiniSanta Cruz
Lugha rasmiKihispania,Kiguarani,Kiquechua,Kiaymara
SerikaliJamhuri
Luis Arce
Uhuru
KutokaHispania
6 Agosti1825
Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
1,098,581 km² (ya 28)
1.29%
Idadi ya watu
 -25 Machi 2014 kadirio
 -2001 sensa
 - Msongamano wa watu
 
10,556,102 (ya 83)
8,280,184
9/km² (ya 221)
FedhaBoliviano (BOB)
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
— (UTC-4)
— (UTC?)
Intaneti TLD.bo
Kodi ya simu+591

-


Ramani ya Bolivia
Mji wa La Paz
Uyuni

Bolivia (jina linatokana na shujaaSimon Bolivar) ni nchi isiyo namwambao wabahari katikaAmerika Kusini.

Imepakana naBrazil,Paraguay,Argentina,Chile naPeru.

Jiografia

[hariri |hariri chanzo]

Nchi inakatwa nasafu mbili zamilima yaAndes zenyekimo hadimita 6500 juu yaUB.

Nyanda za juu (kwaKihispania: "Altiplano") zinakaliwa na wakazi wengi (80%) ziko kwenye kimo cha mita 3.000 hadi 4.000. Altiplano ni takribantheluthi moja ya eneo la nchi; sehemu nyingi nitambarare ya "llanos" ambayo ni nchi ya chini yenyejoto ambayo ina sehemu mbili:savana kavu zaGran Chaco namisitu minene ya beseni yaAmazonas.

Ziwa laTiticaca liko kwenye Altiplano.

Bolivia ni kati ya nchimaskini zaidi za Amerika Kusini.

Watu

[hariri |hariri chanzo]

Tofauti na nchi nyingine zabara hilo, wakazi asilia (Waindio) ni sehemu kubwa ya wananchi (55%), wakifuatwa na machotara (30%) na watu wenye asili yaUlaya (15%).

Lugha rasmi ziko 37, kuanzia Kihispania na lugha nyingi asilia.

Upande wadini,Kanisa Katoliki linaongoza (78%), likifuatwa naUprotestanti (19%).

Tazama pia

[hariri |hariri chanzo]

Marejeo

[hariri |hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri |hariri chanzo]
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Nchi na maeneo yaAmerika Kusini

Argentina |Bolivia |Brazil |Chile |Ekuador |Guyana |Guyani ya Kifaransa |Kolombia |Paraguay |Peru |Surinam |Uruguay |Venezuela

Makala hii kuhusu maeneo yaBolivia bado nimbegu.
Je unajua kitu kuhusuBolivia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Bolivia&oldid=1139195"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp