Bernard Francis Law
Zana
Kijumla
Chapa/peleka nje
Miradi mingine
Bernard Francis Cardinal Law (4 Novemba1931 –20 Desemba2017) alikuwa kiongozi wa ngazi ya juu waKanisa Katoliki, maarufu hasa kwa kuficha vitendo vya ubakaji wawatoto namapadri waKanisa Katoliki.
AlikuwaAskofu Mkuu wa Boston, Mshereheshaji Mkuu wa Basilica di Santa Maria Maggiore, naKardinali Paroko wa Santa Susanna, ambayo ilikuwa parokia ya Wamarekani hukoRoma hadi 2017, wakati jumuiya ya Wamarekani ilihamishiwa San Patrizio.[1][2]
{{cite news}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)![]() | Makala hii bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuiongezea habari. |