Bernard DeVoto | |
Amezaliwa | 11 Januari1897 Utah,Marekani |
---|---|
Amekufa | 13 Novemba1955 New York |
Nchi | Marekani |
Kazi yake | Mwandishi |
Kipindi | 1932-1955 |
Bernard De Voto (11 Januari1897 –13 Novemba1955) alikuwa mwandishi na mwanahistoria kutoka nchi yaMarekani. Mwaka wa1948, alipokeaTuzo ya Pulitzer ya Historia kwa kitabu chakeAcross the Wide Missouri ("Ng'ambo ya Mto Missouri").
![]() | Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusuBernard DeVoto kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari. |