Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Belmopan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jiji la Belmopan
NchiBelize
Mahali pa Belmopan nchini Belize

Belmopan nimji mkuu waBelize.Idadi ya wakazi ni takriban watu 15,000.Jina lamji liliundwa na maneno mawili ya "Belize" (=nchi) na "Mopan" ambayo nimto wa karibu.

Belmopan iko kando yamto Belize kwenye 17°15′N 88°46′W takriban mita 76 juu ya UB. Ilichukua nafasi ya Belize City mji mkuu wa awali ulioharibika kabisa na dhoruba yatufani mwaka1961. Mji ulipangwa kwa ajili ya wakazi 40,000 lakini haikukua ipasavyo.

Pamoja naofisi zaserikali nabunge kuna piaChuo Kikuu cha Belize.

Makala hii kuhusu maeneo yaAmerika ya Kati bado nimbegu.
Je unajua kitu kuhusuBelmopan kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Belmopan&oldid=1231873"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp