BeOS
Zana
Kijumla
Chapa/peleka nje
Miradi mingine
BeOS ilikuwa mfumo wa uendeshaji uliotengenezwa naBe Inc na ulioundwa kwa ajili ya matumizi yamidia unuai na matumizi yakompyuta ya kawaida.
Ilifanya matumizi mazuri yateknolojia ya kutumiavichakato vingi.
Palm, Inc. ilinunua Be Inc mwaka2001 na matoleo mapya ya BeOS hayakufanyika.
| Makala hii kuhusu mambo yateknolojia bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari. |