Bata mchovya |
---|

|
Uainishaji wa kisayansi |
---|
|
Ngazi za chini |
---|
Jenasi 17: - AixBoie, 1828
- AmazonettaBoetticher, 1929
- AnasLinnaeus, 1758
- CairinaFleming, 1822
- CallonettaDelacour, 1936
- †ChelychelynechenOlson &James, 1991
- ChenonettaBrandt, 1836
- LophonettaRiley, 1914
- MarecaStephens, 1824
- NettapusBrandt, 1836
- †PtaiochenOlson & James, 1991
- PteronettaSalvadori, 1895
- SalvadorinaRothschild &Hartert, 1894
- SibirionettaBoetticher, 1929
- SpatulaBoie, 1822
- SpeculanasBoetticher, 1929
- †ThambetochenOlson & Wetmore, 1976
|
Mabata wachovya nindege wamajini wanusufamiliaAnatinae katikafamiliaAnatidae.
Spishi hizi hulamimea ya majini na huzamiakichwa chao tu; nyingine hutafutachakula aghalabu ardhini.
Miguu yao iko karibu zaidi ya katikati yamwili kuliko miguu yamabata wazamaji na kwa sababu hiyo wanaweza kutembea vizuri. Hutokea kwa makundi kwa maji baridi au milango yamito.
Hujenga matago yao ardhini au ndani ya shimo. Wanaweza kurukaangani vizuri na spishi za kanda zakaskazini huhamiakusini kilamajira ya baridi.
Uainisho wa Anatinae hauna hakika. Hapajenasikumi zimewekwa ndani ya familia ndogo hii zilizopo bado, na pia jenasitatu zilizokwisha sasa.Visukuku vya spishi ndogo vimefunuliwa katikakisiwa chaRota (Visiwa vya Mariana) ambayo inafanana na jenasiAnas.
- Aix galericulata,Bata Mdogo wa Uchina (Mandarin Duck)imewasilishwa
- Aix sponsa,Bata Mdogo wa Carolina (Carolina orWood Duck)imewasilishwa
- Anas acuta,Bata Kipini (Northern Pintail)
- Anas bernieri,Bata wa Madagaska (Bernier's au Madagascar Teal)
- Anas capensis,Bata Kusi (Cape Teal)
- Anas crecca,Bata Mabawa-kijani (Eurasian Teal)
- Anas eatoni,Bata wa Eaton (Eaton’s Pintail)
- Anas erythrorhyncha,Bata Domo-jekundu (Red-billed Teal)
- Anas melleri,Bata wa Meller (Meller’s Duck)
- Anas platyrhynchos,Bata wa Ulaya (Mallard)imewasilishwa
- Anas sparsa,Bata Mweusi (African Black Duck)
- Anas theodori,Bata wa Morisi (Mauritian Duck au Mascarene Teal)imekwisha sasa (miaka 1690)
- Anas undulata,Bata Domo-njano (Yellow-billed Duck)
- Cairina moschata,Bata-kaya (Barbary orMuscovy Duck)imewasilishwa na hufugwa
- Mareca penelope,Bata Domo-kijivu (Eurasian Wigeon)
- Mareca strepera,Bata Kijivu (Gadwall)
- Nettapus auritus,Bata Salili (African Pygmy Goose)
- Nettapus coromandelianus,Bata Salili wa Asia (Cotton Pygmy Goose)imewasilishwa
- Pteronetta hartlaubii,Bata-misitu (Hartlaub’s Duck)
- Spatula clypeata,Bata Sepeto (Northern Shoveler)
- Spatula discors,Bata Mabawa-buluu (Blue-winged Teal)
- Spatula hottentota,Bata Domo-buluu (Hottentot Teal)
- Spatula querquedula,Bata Mchirizi-mweupe (Garganey)
- Spatula smithii,Bata Sepeto Kusi (Cape Shoveler)
Bata mdogo wa Uchina
Bata mdogo wa Carolina
Bata kipini
Bata wa Madagaska
Bata kusi
Bata sepeto
Bata mabawa-kijani
Bata mabawa-buluu
Bata wa Eaton
Bata domo-jekundu
Bata domo-buluu
Bata wa Meller
Bata domo-kijivu
Bata wa Ulaya
Bata mchirizi-mweupe
Bata sepeto kusi
Bata mweusi
Bata kijivu
Bata-kaya
Bata salili
Bata salili wa Asia
Bata-msitu
Brazilian teal
American wigeon
White-cheeked pintail
Green-winged teal
Chestnut teal
Auckland Islands teal
White-cheeked pintail
Green-winged teal
Chestnut teal
Brown teal
Cinnamon teal
Falcated duck
Yellow-billed teal
Baikal teal
Mottled duck
Yellow-billed pintail
Sunda teal
Grey teal
Laysan duck
Philippine duck
Campbell teal
Red shoveler
Indian spot-billed duck
Puna teal
Australasian shoveler
American black duck
Chiloe wigeon
Pacific black duck
Silver teal
Hawaiian duck
White-winged duck
Ringed teal
Maned duck
Crested duck
Green pigmy goose
Bronze-winged duck
 | Makala hii kuhusu mambo yabiolojia bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusuBata mchovya kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari. |