Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Basra

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Basra na mazingira yake kati yaKuwait (kusini) naUajemi (kaskazini)
Mji wa Basra wa Iraq
Mji wa Basra wa Iraq

Basra (kar.: البصرة al-basra) ni mji kwenye kusini yaIrak mwenye wakazi zaidi ya milioni mbili.

Iko kando laShatt-al-Arab inayopeleka maji yaHidekeli naFrati hadiGhuba ya Uajemi. Ni bandari kuu ya Irak.

Basra ni mji mkubwa wa tatu wa Irak baada ya Baghdad na Mosul. Wakazi karibu wote niWaarabu na zaidi ya asilimia 90 Waislamu Washia.

Kama miji mingi ya nchi Basra imeathiriwa vibaya navita ya Ghuba na mapigano yanayoendelea ndani ya Irak.

Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Basra&oldid=1397735"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2026 Movatter.jp