Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Bahati

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jani linalodhaniwa kuleta bahati njema.

Bahati (kutokaneno laKifarsi/Kiajemi "bakht", بخت; pia:sudi; kwaKiingereza:lucky) inatafsiriwa kwa namna tofauti.

Kwa mfano,Kamusi yaNoah Webster inafafanua bahati kama"nguvu isiyo na lengo, isiyotabirika na isiyotawalika inayosababisha matukio mazuri au mabaya kwa mtu binafsi au kundi la watu".[1]

KumbeMax Gunther inatafsiri hivi: ni "matukio ambayo yanaathiri maisha ya mtu nayanaonekana kuwa nje ya udhibiti wake".[2]

Uwepo wa bahati unasadikiwa au kukanushwa kadiri yautamaduni,falsafa,dini nahisia za watu. Kwa mfanoUkristo unafundishaMaongozi ya Mungu ambayo yanategemeaHekima yake, si bahati nasibu.

Tanbihi

[hariri |hariri chanzo]
  1. Gunther, 1977.View on Google Books.
  2. Ibidem, Gunther, 1977.

Marejeo

[hariri |hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya dini bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hii kama historia yake au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Bahati&oldid=1292438"
Jamii:
Jamii iliofichwa:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp