Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Bahari ya Norwei

Majiranukta:69°N0°E / 69°N 0°E /69; 0
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Milima yavisiwa vyaLofoten vilivyopo mbele ya pwani ya Norwei pamoja namlima Vågakaillen (mita 942).
Ramani ya Bahari ya Norwei.

Bahari ya Norwei nibahari ya pembeni yaAtlantiki iliyopo upande wakaskazinimagharibi yaNorwei. Inapatikana baina yaBahari ya Kaskazini naBahari ya Greenland. Inaunganishwa na Bahari Atlantiki upande wa magharibi na upande wamashariki kaskazini ikoBahari ya Barents.[1][2]

Kina cha Bahari ya Norwei ni kirefu, kwawastanikilomita 2. Chini yake kuna akiba zamafuta ya petroli nagesi asilia ambazo Norwei imefaidi tangu mwaka1993.

Kabla ya kugunduliwa kwa gesi asilia matumizi yakiuchumi ya bahari hii yalikuwa hasa yauvuvi.Pwani za Bahari ya Norwei huwa nasamaki wengi wanaofika huko kuzaa kutoka Atlantiki ya Kaskazini.[3] Lakini idadi ya samaki imepungua kutokana kwa kuzidi kwa uvuvi unaotumia vifaa vya kisasa.[4]

Mkondo wa Atlantiki ya Kaskazini hufikishamaji vuguvugu yasiyoweza kupoa mno, hivyo sehemu hii ya bahari haiwezi kuganda hata wakati wabaridi.

Majereo

[hariri |hariri chanzo]
  1. Norwegian Sea,Great Soviet Encyclopedia (in Russian)
  2. Norwegian Sea, Encyclopædia Britannica on-line
  3. Wefer, Gerold; Lamy, Frank (2003).Marine Science Frontiers for Europe. Springer Science & Business Media. ku. 32–35.ISBN 978-3-540-40168-1.
  4. Stokke, Olav Schram (2001).Governing High Seas Fisheries: The Interplay of Global and Regional Regimes. Oxford University Press on Demand. uk. 241.ISBN 978-0-19-829949-3.

Viungo vya Nje

[hariri |hariri chanzo]

69°N0°E / 69°N 0°E /69; 0

Bahari ya Aktiki
Bahari ya Atlantiki
Bahari ya Adria ·Bahari ya Aegean ·Bahari ya Åland ·Bahari ya Alboran ·Bahari ya Argentina ·Bahari ya Azov ·Bahari ya Baleari ·Bahari ya Baltiki ·Bahari ya Bothnia ·Bahari ya Eire ·Bahari ya Funguvisiwa ·Bahari ya Greenland ·Bahari ya Hebridi ·Bahari ya Ionia ·Bahari ya Irminger ·Bahari ya Karibi ·Bahari ya Kaskazini ·Bahari ya Kati ·Bahari ya Kiselti ·Bahari ya Krete ·Bahari ya Labrador ·Bahari ya Levanti ·Bahari ya Libya ·Bahari ya Liguria ·Bahari ya Marmara ·Bahari ya Myrto ·Bahari ya Norwei ·Bahari Nyeusi ·Bahari ya Sargasso ·Bahari ya Thrakia ·Bahari ya Tireni ·Bahari ya Wadden ·Beseni la Foxe ·Ghuba ya Biskaya ·Ghuba ya Botnia ·Ghuba ya Boothia ·Ghuba ya Guinea ·Ghuba ya Hudson ·Ghuba ya Maine ·Ghuba ya Meksiko ·Ghuba ya Saint Lawrence ·Ghuba ya Sidra ·Ghuba ya Simba ·Ghuba ya Ufini ·Ghuba ya Venezuela ·Hori ya Baffin ·Hori ya Campeche ·Hori ya Fundy ·Hori ya James ·Mfereji wa Kiingereza
Bahari ya Hindi
Bahari ya Kusini
Bahari ya Pasifiki
Bahari ya Arafura ·Bahari ya Bali ·Bahari ya Banda ·Bahari ya Bering ·Bahari ya Bismarck ·Bahari ya Bohai ·Bahari ya Bohol ·Bahari ya Camotes ·Bahari ya Ceram ·Bahari ya Chile ·Bahari ya China Kusini ·Bahari ya China Mashariki ·Bahari ya Halmahera ·Bahari ya Java ·Bahari ya Koro ·Bahari ya Grau ·Bahari ya Japani ·Bahari ya Matumbawe ·Bahari ya Molucca ·Bahari ya Njano ·Bahari ya Okhotsk ·Bahari ya Salish ·Bahari ya Savu ·Bahari ya Seto ·Bahari ya Shantar ·Bahari ya Sibuyan ·Bahari ya Solomon ·Bahari ya Sulawesi ·Bahari ya Sulu ·Bahari ya Tasmania ·Bahari ya Ufilipino ·Bahari ya Visayan ·Ghuba ya Alaska ·Ghuba ya Anadyr ·Ghuba ya Carpentaria ·Ghuba ya Fonseca ·Ghuba ya Kalifornia ·Ghuba ya Moro ·Ghuba ya Panama ·Ghuba ya Tonkin ·Ghuba ya Uthai
Bahari zisizounganika na nyingine
Nyinginezo
Makala hii kuhusu maeneo yaUlaya bado nimbegu.
Je unajua kitu kuhusuBahari ya Norwei kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Bahari_ya_Norwei&oldid=1395244"
Jamii:
Jamii iliofichwa:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp