Bahari ya Kuini inayozunguka bara la Antaktiki.Ramani hii inaonyesha mabadiliko ya halijoto ya maji ya bahari za dunia katika mwendo wa mwaka. Inaonekana jinsi gani kanda la barafu linalozunguka pwani la Antaktika (chini kabisa, rangi ya kijivu) hupanuka na kurudi nyuma kila mwaka.
Sehemu zake karibu na pwani hufunikwa nabarafu inayokua wakati wabaridi. Katika miezi yajoto vipande vikubwa vya barafu humeguka na kuelea katika maji kamasiwa barafu ambayo ni hatari kwameli lakini zinayeyuka polepole kadiri zinavyofikia maji yasiyo baridi.
Makala hii kuhusu eneo fulani bado nimbegu. Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuiongezea habari.
Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.