Bahari ni muhimu sana kwa ajili yamaisha nahali ya hewa duniani. Bahari zinashika asilimia 96.5 za maji yote ya dunia. Maji ya bahari yana takriban asilimia 3.5 za chumvi ndani yake. Kiwango hiki hutofautiana kidogo katika sehemu mbalimbali: kutokana nauvukizaji mkubwa penyejoto kwa matumizi yabinadamu hata kwa matumizi yamimea nawanyama wa nchi kavu haifai. Lakini bahari pia ni chanzo chamvua kwa sababumawingu hutokea hasa juu ya bahari. Katika mwendo wa uvukizaji, chumvi inabaki namvuke unapaa bila chumvi ndani yake kuwa mawingu na kurudi katika mwendo wausimbishaji. Usimbishaji unaleta maji yanayojazamito na maziwa hataakiba za maji chini yaardhi.
Tangu zamani bahari ni njia kuu zamawasiliano ya kimataifa. Hadi leo asilimia 92 yamizigo yote hubebwa kwameli baharini kati yabandari.
Makala hii kuhusu eneo fulani bado nimbegu. Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuiongezea habari.
Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.
Simple English Wiktionary
Wikamusi ya Kiswahili ina maelezo na tafsiri ya maana ya neno: