Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Baha'i

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Dini ya Baha'i
بَهَائِيَّة (Bahā'īyyah)

ukubwa_wa_picha
Alama ya Dini ya Baha'i, ishara ya umoja na utukufu

Uainishajiya Ibrahimu, Kidini na Kiimani
MaandikoKitabu cha Akhira
Kitabu cha Imani
TeolojiaMungu mmoja, umoja wa binadamu, usawa kati ya watu
EneoDuniani kote, hasaMashariki ya Kati,Afrika,Amerika, naAsia
LughaKiarabu,Kiajemi, na lugha nyingine za kisasa
MwaasisiBaha'ullah
AsiliKarne ya 19,Uajemi (Iran ya leo)
IbadaSala, Kufunga, Zaka, Ibada ya jamii, Kufanya kazi kwa ajili ya umoja
WafuasiTakriban milioni 5
Makao makuu ya Bahá'í, hukoHaifa,Israel.

Imani yaKibahá'í (kwaKifarsi |بهائی.) nidini inayofundishakuabuduMungu pekee.Mwanzilishi wake alikuwaBaha'ullah aliyetokeaUajemi, (leoIran) katikakarne ya 19, aliyesisitizaumoja wa kiroho wabinadamu wote.[1]Leo wafuasi wa dini hiyo duniani kote ni kati yamilioni 5 na 6.[2][3]

Katika imani ya Kibahá'í,historia inatazamwa kama mfululizo wa wajumbe wa Mungu walioanzisha dini mbalimbali kulingana na mahitaji ya wakati na watu. Kati yao kunaAbrahamu,Buddha,Yesu,Muhammad na wengineo.

Hatimaye walitokeaBáb naBahá'u'lláh kukamilisha yote ili kuletaamani,haki na umoja.[4]

Bahá'í Temple, Ingleside, Sydney, Australia
Alama za dini mbalimbali zilizochongwa katikanguzo yaNyumba ya Ibada ya Kibaha'i hukoWilmette,Illinois,Marekani.
Ringstone symbol inamaanisha uhusiano wa watu na Mungu.
Patakatifu paBáb huko Haifa, Israel.
Nyumba ya Ibada ya Kibahá'í hukoNew Delhi,India inayovutia kila mwaka watalii milioni 4 kwa wastani.
Bustani ya Wabahá'í huko Haifa, Israel.
Mwandiko mzuri wajina kuu.

Tanbihi

[hariri |hariri chanzo]
  1. Houghton 2004
  2. Bahá'í statistics for a breakdown of different estimates.
  3. Hutter 2005, pp. 737–40
  4. Smith 2008, pp. 107–9
Makala hii kuhusu mambo ya dini bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hii kama historia yake au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Baha%27i&oldid=1409471"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp