Astrocytoma
Zana
Kijumla
Chapa/peleka nje
Miradi mingine
Astrocytoma ni aina yakansa yaubongo. Inatokana na ukosefu wa aina fulani zaseli zaastrocytes. Seli hizO za ubongo zinaumbo lanyota. Ukosefu wa seli hizo huathiriuti wa mgongo naviungo vingine vyamwili.
![]() | Makala hii kuhusu mambo yatiba bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusuAstrocytoma kama sababu yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari. |