Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Astatini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Astatini (astatinum)
Jina la ElementiAstatini (astatinum)
AlamaAt
Namba atomia85
Mfululizo safuHalojeni
Uzani atomia209.98
Valensi2, 8, 18, 32, 18, 7
Ugumu (Mohs){{{ugumu}}}
Kiwango cha kuyeyuka575 K (302°C)
Kiwango cha kuchemka610 K (337 °C)
Asilimia zaganda la dunia3 · 10-24 %
Hali maadamango
Mengineyonururifu; hutokea wakati wambunguo waUrani

Astatini (kut.Kigiriki "astateo" (ἀστατέω) "kutodumu" kwa sababu ya unururifu na nusumaisha fupi) nielementi yenyenamba atomia85 katikamfumo radidia maana yakekiini atomia chake kinaprotoni 85.Uzani atomia ni 209.98 na alama yake niAt. Ni elementi ya tano katika safu yahalojeni.

Tabia

[hariri |hariri chanzo]

Astatini ni elementi ururifu yenye nusumaisha isiyozidi masaa 8.1. Kwa sababu hiyo ni haba sana jumla yake duniani ni takriban gramu 25.

Hujitokeza upya tena na tena katikambunguo asilia waurani. Hutengenezwa pia katika maabara.

Kuna matumizi ya kiganga ambako mnururisho wake hutumiwa kuharibu kansa mwilini.

Makala hii kuhusu mambo yasayansi bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuAstatini kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Astatini&oldid=1069703"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2026 Movatter.jp