Aspirini, pia inajulikana kama asidi asetilsalisiliki (acetylsalicylic acid/atorvastatin/ramipril), ni ni dawa mchanganyiko inayotumiwa kuzuiaugonjwa wa moyo nakiharusi.[3] inayopunguzamaumivu ya kuzuia mwasho (nonsteroidal anti-inflammatory) na inayotumika kupunguza maumivu, homa, na/au kuvimba, na kama antithrombotic.
Hali mahususi za mwasho ambazo aspirini hutumiwa kutibu ni pamoja na ugonjwa wa Kawasaki, perikaditisi (pericarditis), na homa ya maambukizi ya kooni ambayo haya kutibiwa vyema.
Kufuatiamshtuko wa moyo hupunguza hatari ya kifo kutokana na ugonjwa wa moyo kwa karibu theluthi.[2] Inachukuliwa kwa mdomo.[4] Mchanganyiko huu ni rahisi kutumia kwa baadhi ya watu kuliko vipengele vyake vyake kila kimoja kivyake.[4]
Madhara yake ni yale ya vipengele vyake kila kimoja kivyake.[1] Ni mchanganyiko waasidi acetylsalicylic (aspirin), ambayo ni dawa ya kuzuia kugandamana kwa chembe sahani za damu(antiplatelet); atorvastatin, ambayo ni dawa ya kupunguza kiwango cha mafuta mwilini (statin) ; na ramipril, ambayo ni kizuizi cha ACE (kiharibishi cha enzimu kubadilisha Angiotensini).[1]
Mchanganyiko huu uliidhinishwa kwa ajili ya matumizi ya kimatibabu katika sehemu za Ulaya naAmerika ya Kusini mwaka wa 2014.[1][5] Kufikia mwaka wa 2023, ilipatikana katika nchi 25.[2] Haijakuwa ikipatikana nchini Marekani kufikia mwaka wa 2023.[2] Iko kwenye Orodha ya Dawa Muhimu ya Shirika la Afya Ulimwenguni.[6] Mbadala wake unaweza kutengenezwa na dawa za kupunguza kiwango cha mafuta mwilini (statins) tofauti au vizuizi vya ACE.[4] Vijenzi hivi kwa ujumla ni madawa ya kawaida.[4] Ni aina ya kidonge mseto (polypill).[7] Dawa hii iligharimu takriban €10 hadi €40 kwa mwezi kufikia mwaka wa 2016.[5]
↑5.05.1"Cardiovascular Polypill"(PDF).Wellcome Trust. 2016. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutokachanzo(PDF) mnamo 4 Februari 2023. Iliwekwa mnamo24 Septemba 2023.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
↑World Health Organization (2023).The selection and use of essential medicines 2023: web annex A: World Health Organization model list of essential medicines: 23rd list (2023). Geneva: World Health Organization.hdl:10665/371090. WHO/MHP/HPS/EML/2023.02.
Makala hii kuhusu mambo yatiba bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusuAspirini kama sababu yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.