Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Armand Gaston Maximilien de Rohan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Armand de Rohan (26 Juni167419 Julai1749) alikuwa kiongozi wa Kanisa Katoliki la Ufaransa namwanasiasa. Aliteuliwa kuwaAskofu waStrasbourg mnamo 1704,Kardinali mnamo 1712, na Grand Almoner waUfaransa mnamo 1713. Mnamo 1722, alikua mwanachama wa baraza la mregansia.

Alijenga Hôtel de Rohan karibu na Hôtel de Soubise, ambapo baba yake aliishi, akimtumia Pierre-Alexis Delamair, mbunifu wa baba yake. Prince de Rohan alichaguliwa kuwa mwanachama wa Académie des Inscriptions mnamo 1701 na Académie française mnamo 1703. Mnamo 1713, alipewa heshima ya kuwa kamanda wa Agizo la Saint-Esprit.

Armand de Rohan alitoasakramenti za mwisho (kitubio,mpako wa wagonjwa nakomunyopamba) kwa MfalmeLouis XIV.[1]

Marejeo

[hariri |hariri chanzo]
  1. Dangeau, Philippe de Courcillon marquis de (1858).Mémoire sur la mort de Louis XIV (kwa Kifaransa). Didot frères, fils.
Makala hii bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuiongezea habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Armand_Gaston_Maximilien_de_Rohan&oldid=1388552"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2026 Movatter.jp