Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Ararat

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ararat ndogo (kushoto) na Ararat kubwa (kulia) kutokaYerevan,Armenia.

Ararat (kwaKituruki Ağrı Dağı; kwaKiarmenia Մասիս,Masis na Արարատ,Ararat) nimlima mrefu (m 5,137) waUturuki wa leo.

Ni maarufu kwa sababu kadiri yakitabu chaMwanzo (Biblia) ndiposafina yaNuhu ilipotua baada yagharika kuu.

Makala hii kuhusu eneo fulani bado nimbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.

Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Ararat&oldid=1018704"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp