Aramide
Zana
Kijumla
Chapa/peleka nje
Miradi mingine
Aramide ni mwimbaji na mtunzi wa nyimbo wa Afro-soul kutokaNigeria. Aramide alishinda utendaji bora wa sauti (mwanamke) kwa "Iwo Nikan" katika tamasha la Headies 2015.[1]
![]() | Makala hii kuhusu mtu huyo bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusuAramide kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari. |