Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Apokrifa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Apokrifa (kutoka neno laKigiriki ἀπόκρυφος,apókruphos, yaani "iliyofichika") ni jina linalotumika katikaUkristo kuanziakarne ya 5 kutajiavitabu ambavyomadhehebu husika hayavikubali katikaBiblia.

Hivyo vitabu vilevile vinaweza kuwa vitakatifu kwa madhehebu kadhaa lakini si kwa mengine.

Lakini kuna vitabu vingine ambavyo vinatazamwa na Wakristo wote kuwa ni apokrifa, kwa mfano "Maisha ya Adamu na Eva".

Maelezo ya undani zaidi yanapatikana katika makalaDeuterokanoni kuhusu vitabu maarufu zaidi vinavyokubaliwa naKanisa Katoliki na wengineo kamaNeno la Mungu, lakini si naWaprotestanti wengi.

Marejeo

[hariri |hariri chanzo]

Vitabu vyenyewe

Ufafanuzi

  • O. F. Fritzsche and Grimm,Kurzgef. exeget. Handbuch zu den Apok. des A.T. (Leipzig, 1851–1860)
  • Edwin Cone Bissell,Apocrypha of the Old Testament (Edinburgh, 1880)
  • Otto Zöckler,Die Apokryphen des Alten Testaments (Munchen, 1891)
  • Henry Wace,The Apocrypha ("Speaker's Commentary") (1888)

Utangulizi

Viungo vya nje

[hariri |hariri chanzo]
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Apokrifa&oldid=1138890"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp