Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Antony Hewish

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Antony Hewish (amezaliwa11 Mei1924) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi yaUingereza. Hasa alichunguza mionzi ya nyota na kugundua nyota zinazodundadunda (kwa Kiingerezapulsar). Mwaka wa 1974, pamoja naMartin Ryle alikuwa mshindi waTuzo ya Nobel ya Fizikia.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuAntony Hewish kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Antony_Hewish&oldid=878060"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp