Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Anatolia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ramani ya Uturuki - Anatolia ni nchi kati ya bahari

Anatolia(Kituruki: Anadolu) nirasi kubwa katikaAsia ya Magharibi kati yaBahari ya Mediteranea naBahari Nyeusi. Eneo lake ni sehemu kubwa yaUturuki upande waAsia.

Jina la Kale ni "Asia Minor" (kilat.) au "Asia Ndogo".

Katika historia mataifa mengi yaliishi Anatolia au kuingia humo na kujenga madola yao kama vileWahitti,Wagiriki,Wajemi,Waarmenia,Waroma,Wagothi,Wabizanti naWaturuki.

Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Anatolia&oldid=878124"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp