Amri (kutokaKiarabu) ni agizo au katazo linalotolewa namamlaka yoyote kwa watu walio chini yake kwa namna moja au nyingine.
KatikaBiblia ni maarufuAmri Kumi zaMwenyezi Mungu ambaye aliziweka ili asiwepo yeyote wa kuzikaidi, bali kuzishika na kuzitunza katikamoyo (Kut 20;Kumb 5).Yesu alionyesha kwamba zote zinajumlishwa katika amri kuu yaupendo kwaMungu na kwa jirani (Mk 12:28-31). Hatimaye alitoa amri mpya kwamba watu wapendane kama yeye alivyowapenda upeo (Yoh 13:34).
![]() | Makala hii kuhusu mambo ya sheria bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusuAmri kama historia yake au uhusiano wake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari. |