Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Always Be My Baby

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
“Always Be My Baby”
“Always Be My Baby” cover
Single yaMariah Carey
MuundoCD single,cassette single
AinaPop,R&B
Urefu4:18
StudioColumbia
MtunziMariah Carey,Jermaine Dupri,Manuel Seal, Jr.
MtayarishajiMariah Carey, Jermaine Dupri, Manuel Seal
Certification2x Platinum(U.S.)
Gold(Australia, New Zealand)
Mwenendo wasingle zaMariah Carey
"Open Arms"
(1995)
"Always Be My Baby"
(1996)
"Forever"
(1996)


"Always Be My Baby" ni wimbo uliondikwa na kutayarishwa na mwanamziki anayeimba miondoko ya popMariah Carey akishirikiana naJermaine Dupri pamoja na Manuel Seal. Wimbo huu ulitoka ramsi mwaka 1996, kama single ya tatu katika toleo laMarekani kutoka katika albamu ya nne ya Carey. Wimbo waDaydream wa mwaka (1995),ulifika katika nafasi ya kwanza katika chati ya Marekani yaBillboard Hot 100 na kufika katika nafasi ya 2 nchiniCanada. Mwaka 1996, wimbo huu ulimwezesha Carey kupata tuzo ya Mwanamuziki bora wa kike wa muziki wa R&B.

Chati

[hariri |hariri chanzo]

"Always Be My Baby" ulianza kupigwa katika vituo mbalimbali vya redio Amerika ya Kaskazini tarehe 26 Machi26, na wimbo huu ukawa wimbo wa kumi na moja kutoka kwa Carey kufika kuingia katika chati yaBillboard Hot 100. Lakini tofauti na nyimbo zilizotangulia kama vile, "Fantasy" na "One Sweet Day", wimbo huu haukufanikiwa kufika katika nafasi ya kwanza na badala yake uliishia katika nafasi ya pili lakini baadae ulikuja kufika katika nafasi hiyo na kukaa hapo kwa kipindi cha wiki mbili, na kurudia katika nafasi ya pili ambapo ilikaa hapo kwa kipindi cha wiki tisa lakini sio mfululizo. Hadi hii leo, huu ndio wimbo kutoka Carey uliowahi kukaa katika nafasi ya pili kwa kipindi kirefu zaidi


"Always Be My Baby" ulipigwa zaidi katika nchini Marekani, na mwaka 1996, wimbo huu ulitajwa kuwa moja ya nyimbo katika chati yaHot 100 Airplay lakini hata kutokana na mafanikio haya haukuweza kufika katika nafasi ya kwanza kwa kipindi kizima cha mwaka 1996. Alishirikiana na mwanamziki mwingine na wimbo huo ndio ulifanikiwa kufika katika nafasi ya kwanza katika chati yaHot Adult Top 40 Tracks. Na kufika katika nafasi ya tano katika chati yaHot Adult Contemporary Tracks na chati yaTop 40 Mainstream .

Nje ya Marekani, wimbo huu pia ulikuwa na mafanikio, lakini haukuweza kupata mafanikio ya wimbo waFantasy katika masoko mbalimbali. Japokuwa ulifanya vibaya kulinganisha na nyimbo kama vile ;;One Sweet Day ulifanikiwa kufika katika nyimbo tano bora za nchini Canada na Uingereza, ambako huku ulifanya vizuri zaidi kulinganisha na nyimbo mbalimbali za Carey. NchiniAustralia ulifanikiwa kuingia katika nyimbo ishirini bora.

Video ya muziki

[hariri |hariri chanzo]
Carey on the set of the music video for "I Still Believe".

Video ya muziki hii, iliongozwana yeye mwenyewe, ambapo alikuwa akielezea jinsi wapenzi wadogo wawili wakiwa katika katikati ya usiku. Video hii ilifanyika katika eneo la Carey analolifadhili laFresh Air Fund katika jiji laNew York

Muundo la orodha ya nyimbo

[hariri |hariri chanzo]

European CD single #1

  1. "Always Be My Baby" (Album Version)
  2. "Always Be My Baby" (Mr. Dupri Mix) (feat. Da Brat & Xscape)

European CD single #2

  1. "Always Be My Baby" (Album Version)
  2. "Always Be My Baby" (Def Classic Radio Version)

North American CD single

  1. "Always Be My Baby" (Album Version)
  2. "Always Be My Baby" (Mr. Dupri Mix) (feat. Da Brat & Xscape)
  3. "Slipping Away"

Australian/European/U.S. CD maxi-single #1

  1. "Always Be My Baby" (Mr. Dupri No Rap Radio Mix) (feat. Xscape)
  2. "Always Be My Baby" (Mr. Dupri mix featuring Da Brat and Xscape)
  3. "Always Be My Baby" (Mr. Dupri extended mix featuring Da Brat and Xscape)
  4. "Always Be My Baby" (Reggae soul mix featuringLi'l Vicious)
  5. "Always Be My Baby" (album version)

Australian/European CD maxi-single #2

  1. "Always Be My Baby" (Def Classic Radio Version)
  2. "Always Be My Baby" (Always Club Mix)
  3. "Always Be My Baby" (Groove-A-Pella)
  4. "Always Be My Baby" (ST Dub)

Japanese CD single

  1. "Always Be My Baby" (Album Version)
  2. "Always Be My Baby" (Mr. Dupri Mix) (feat. Da Brat & Xscape)
  3. "Long Ago"

UK maxi-single #1

  1. "Always Be My Baby" (album version)
  2. "Always Be My Baby" (Mr. Dupri extended mix featuring Da Brat and Xscape)
  3. "Always Be My Baby" (Mr. Dupri no rap radio mix featuring Xscape)
  4. "Always Be My Baby" (Reggae soul mix featuring Li'l Vicious)
  5. "Always Be My Baby" (Reggae soul dub mix)

UK CD maxi-single #2

  1. "Always Be My Baby" (Def classic radio version)
  2. "Always Be My Baby" (Always club mix)
  3. "Always Be My Baby" (Dub-a-baby)
  4. "Always Be My Baby" (Groove a pella)
  5. "Always Be My Baby" (ST dub)

Chati

[hariri |hariri chanzo]
Chati (1996)Ilipata
nafasi
Australian Singles Chart[1]17
Canadian Singles Chart[2]2
Dutch Singles Chart[3]27
European Singles Chart[4]19
German Singles Chart[5]76
Irish Singles Chart[6]10
Japanese Singles Chart[7]79
New Zealand Singles Chart[8]5
Swedish Singles Chart[9]38
UK Singles Chart[10]3
U.S.Billboard Hot 100[11]1
U.S.Billboard Hot Adult Contemporary Tracks[11]2
U.S.Billboard Hot Dance Club Play[11]6
U.S.Billboard Hot R&B/Hip-Hop Songs[11]1

MsambazajiMauzoCertification
Australia35,000+Gold
New Zealand7,500+Gold
United States2,000,000+2x Platinum

Tazama pia

[hariri |hariri chanzo]

Marejeo

[hariri |hariri chanzo]
  1. Australian Singles Chart
  2. Canadian Singles Chart
  3. Dutch Singles Chart
  4. "European Singles Chart". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutokachanzo mnamo 2009-05-25. Iliwekwa mnamo2010-01-24.
  5. "German Singles Chart". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutokachanzo mnamo 2010-08-21. Iliwekwa mnamo2010-01-24.
  6. Irish Singles Chart
  7. Japanese Singles Chart
  8. "New Zealand Singles Chart". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutokachanzo mnamo 2013-10-27. Iliwekwa mnamo2010-01-24.{{cite web}}:Unknown parameter|= ignored (help)
  9. Swedish Singles Chart
  10. UK Singles Chart
  11. 1234"Artist Chart History - Mariah Carey". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutokachanzo mnamo 2008-04-04. Iliwekwa mnamo2008-04-04.
Studio albamu
Mariah Carey(1990) ·Emotions(1991) ·Music Box(1993) ·Merry Christmas(1994) ·Daydream(1995) ·Butterfly(1997) ·Rainbow(1999) ·Glitter(2001) ·Charmbracelet(2002) ·The Emancipation of Mimi(2005) ·E=MC2(2008) ·Memoirs of an Imperfect Angel(2009)
Kompilesheni
Albamu za live
MTV Unplugged(1992)
Kompilesheni za video
Ziara
Makala zinazohusiana
Mariah Carey
Emotions
"Emotions" · "Can't Let Go" · "Make It Happen" · "Till the End of Time"
MTV Unplugged
Music Box
Merry Christmas
"All I Want for Christmas Is You" · "Miss You Most (At Christmas Time)" · "Joy to the World" · "Jesus Born On This Day" · "O Holy Night"
Daydream
"Fantasy" · "One Sweet Day" · "Open Arms/El Amor Que Soñé" · "Always Be My Baby" · "Forever" · "Underneath the Stars"
Butterfly
"Honey" · "Butterfly" · "Breakdown" · "The Roof" · "My All" · "Whenever You Call"
Number 1's
Rainbow
Glitter
Charmbracelet
The Remixes
"U Like This (Megamix)" · "Miss You"
The Emancipation of Mimi
E=MC²
Memoirs of an Imperfect Angel
Angels Advocate
"Up Out My Face (Remix)" ·"Angels Cry (Remix)"
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Always_Be_My_Baby&oldid=1455969"
Jamii:
Jamii iliofichwa:

[8]ページ先頭

©2009-2026 Movatter.jp