Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Alexei Abrikosov

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Alexei Abrikosov

Alexei Alexeyevish Abrikosov (amezaliwa25 Juni,1928) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi yaUrusi. Hasa alichunguzausumaku. Mwaka wa2003, pamoja naVitali Ginzburg naAnthony Leggett, alikuwa mshindi waTuzo ya Nobel ya Fizikia.

Makala hii kuhusu mshindi waTuzo ya Nobel bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuAlexei Abrikosov kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Alexei_Abrikosov&oldid=1121847"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp