| Jinsia | mume |
|---|---|
| Nchi ya uraia | Ufalme wa Muungano |
| Nchi anayoitumikia | Uingereza |
| Jina katika lugha mama | Alex McCarthy |
| Jina la kuzaliwa | Alex Simon McCarthy |
| Jina halisi | Alex |
| Jina la familia | McCarthy |
| Tarehe ya kuzaliwa | 3 Desemba 1989 |
| Mahali alipozaliwa | Guildford |
| Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihi | Kiingereza |
| Kazi | association football player |
| Nafasi anayocheza kwenye timu | goalkeeper |
| Muda wa kazi | 2009 |
| Mchezo | mpira wa miguu |
| Namba ya Mchezaji | 1 |
Alex McCarthy (alizaliwa3 Desemba1989) nimchezaji wasoka waUingereza ambaye anacheza kamakipa waklabu ya Ligi KuuUingereza yaSouthampton natimu ya taifa yaUingereza.
Mnamo29 Agosti2014, McCarthy alijiunga naklabu ya Queens Park Racks iliyokuwa Ligi Kuu yaUingereza kwa ada isiyojulikana.McCarthy alicheza kwa mara yake ya kwanza katika mchezo dhidi ya Liverpool kwa ushindi mwembama ambapo walishindea 3-2.
Tarehe23 Julai,2015, McCarthy alijiunga naklabu ya Crystal Palace ya Ligi Kuu yaUingereza kwa ada isiyojulikana kamili, iliyoripotiwa kuwa ni pauni milioni 3.5, kwa mkataba wa miaka nne.McCarthy aliicheza kwa mara ya kwanza tarehe8 Agosti2015 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya klabu ya Norwich City.
Mnamo1 Agosti2016, alijiunga naklabu ya Southampton kwa mkataba wa miaka tatu(3), kwa ada isiyojulikana.27 Juni2018, McCarthy alisaini mkataba mpya wa miaka minne naklabu hadi mwaka 2020, na kumfanya kuwa mmoja wa wachezaji ambao wanalipwa kipato cha juu.
| Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusuAlex McCarthy kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari. |