Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Albert Schweitzer

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Albert Schweitzer

Albert Schweitzer (14 Januari18754 Septemba1965) alikuwa mwanateolojia, mwanafalsafa, mwanamuziki na daktari kutoka eneo laAlsatia, ambalo lilikuwa sehemu yaUjerumani kabla yaVita Kuu ya Kwanza ya Dunia, lakini laUfaransa baadaye. Mwaka wa1952 alikuwa mshindi waTuzo ya Nobeli ya Amani kwa ajili ya falsafa yake. Hasa anajulikana kwa kuanzisha na kuongoza kituo cha kimisionari na hospitali eneo laLambarene nchiniGabon.

Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Albert_Schweitzer&oldid=881748"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp