Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Albert Lutuli

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Picha yake halisi.
Sanamu yake katika Nobel Square,Cape Town.

Albert Lutuli[1] (takriban189821 Julai,1967) alikuwamwalimu namwanasiasa kutoka nchi yaAfrika Kusini.

Alikuwa kiongozi waANC kuanziamwaka1952 hadikifo chake mwaka 1967.

Mwaka wa1960 alishindaTuzo ya Nobel ya Amani kwa ajili ya kutokutumia nguvu katika kupingaapartheid.

Huangaliwa kamamtakatifu katikaKanisa Anglikana laMarekani.

Sikukuu yake ni tarehe 21 Julai, siku ya kifo chake.

Tazama pia

[hariri |hariri chanzo]

Tanbihi

[hariri |hariri chanzo]
  1. South African History Online, biography of Chief Albert John Luthuli

Marejeo

[hariri |hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri |hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu:
Makala hii kuhusu mshindi waTuzo ya Nobel bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuAlbert Lutuli kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Albert_Lutuli&oldid=1193089"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp