Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Alassane Ouattara

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Alassane Ouattara

Alassane Dramane Ouattara (amezaliwa1 Januari1942) nimwanasiasa waIvory Coast ambaye amekuwaRais wa Ivory Coast (Côte d'Ivoire) tangumwaka2010.

Mtaalamu wauchumi na taaluma, Ouattara alifanyakazi kwaShirika la Fedha la Kimataifa (IMF) naBenki Kuu ya Nchi za Afrika Magharibi (kwaKifaransa:Banque Centrale des Etats de l'Afrique de l'Ouest, BCEAO).

AlikuwaWaziri Mkuu wa Côte d'Ivoire kutoka Novemba1990 hadi Desemba1993, aliyeteuliwawadhifa huo na RaisFélix Houphouët-Boigny.

Ouattara alipata kuwa Rais waRally of the Republicans (RDR),chama cha siasa cha Ivory Coast, mnamo1999.

Alassane Ouattara, Waziri mkuu wa Ivory Coast katika jukwaa la Crans Montana mnamo 1992.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuAlassane Ouattara kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Alassane_Ouattara&oldid=1349634"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp